TPF Usaili – Walioitwa Usaili Jeshi la Polisi Tanzania | 2024
Job Description
The Inspector General of Police wishes to inform all youths who applied for employment in the Tanzania Police Force through the TANZANIA POLICE FORCE RECRUITMENT PORTAL that their interviews will be conducted from 29/7/2024 to 11/8/2024 across the country.
Muhimu:
- Waombaji wa Tanzania Bara wenye elimu ya Shahada, Stashahada na Astashahada
usaili wao utafanyika jijini Dar es Salaam katika Chuo cha Taaluma ya Polisi (DPA) kilichopo Barabara ya Kilwa (Kurasini). - Waombaji wenye elimu ya kidato cha nne na sita usaili wao utafanyika kwenye
mikoa walioichagua wakati wa kutuma maombi. - Waombaji wa Zanzibar wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na nne usaili utafanyika Zanzibar. Kwa walioko Mikoa ya Unguja usaili utafanyika Makao Makuu ya Polisi Zanzibar na Mikoa ya Pemba usaili utafanyika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba (Chakechake).
Kwa maelezo zaidi na List ya Majina, Click the Button Below to access the FULL PDF