Jinsi ya kutuma Maombi kwenye Mfumo wa Ajira Polisi | May 2024

May 10, 2024
Apply Now

Job Description

“The Chief of the Tanzanian Police Force announces job opportunities for young people with Bachelor’s degrees, Diplomas, Certificates, Advanced level education (A-Level), and Ordinary level education (O-Level).”

1.0: UTANGULIZI
Mwongozo huu unaonyesha jinsi ya kutumia mfumo huu. Aidha, mwombaji
anatakiwa kuomba kazi mara moja tu na si vinginevyo hivyo chagua kazi
ambayo unaimudu vizuri vilevile mwombaji atatakiwa au anatakiwa kuwa na
vitu vifuatavyo kabla ya kuomba kazi:
(i) Namba ya NIDA iliyo sahihi
(ii) Picha ya pasipoti (Passport size) kwenye format ya picha (.PNG/
JPG)
(iii) Vyeti vya elimu

Note: Mwombaji wa ajira hataweza kubadilisha maombi yake ya kazi
baada ya kuomba kazi husika.

Follow the Button below to read the full description before applying.