About
- Home
- About
About Ajira-Yangu
AJIRA YANGU is the number one destination for job openings, business opportunities, and other relevant information both inside and outside the country (Tanzania).
Please be aware that we are not a hiring or recruiting agency. Our main goal is to share job vacancies, opportunities, and other things related to jobs and employment. Providing you with the greatest and most genuine opportunities is our commitment.
Our goal is to make your dreams of getting a job and acquiring technical skills for your business and career come true.
We are happy to share these options with you and hope you will find our material useful.
Ajira-Yangu – Land Your Dream Job
Karibu ‘AJIRAYANGU.COM‘, jukwaa lako la kuaminika kwa fursa mbalimbali za kazi, elimu kuhusu biashara, na mambo mengine yanayohusiana hayo ndani na nje ya Tanzania.
Tafadhali kumbuka kuwa sisi sio mawakala wala madalali wa uajiri. Lengo letu kuu ni kukushirikisha fursa zote za Ajira na mambo mengine yanayoendana na Ajira. Ahadi yetu ni kukupa fursa bora na halisi zaidi. Tunajitolea kubadilisha matamanio yako ya kupata ajira na kupata maarifa ya kiufundi katika taaluma na biashara yako kuwa uhalisia.
Tunaamini Utaona Manufaa Katika vile Tunavyokushirikisha.
Ajira Yangu – Pata Kazi ya Ndoto Yako.
KARIBU – In case of anything regarding information We are sharing, do not hesitate to Contact us